Habari za Yanga leo
Habari za michezo

YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO

Staff Desk October 16, 2023 2:33 pm

Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi.

Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa jezi za Yanga, amesema uzi huo ni bora zaidi ya ule waliotumia kwenye kombe la Shirikisho msimu uliopita.

Sheria amejipambanua kwa ubora wa kazi yake kwani tangu aanze kubuni jezi za Yanga hajawahi kuwaangusha Wananchi.

SIMBA WATAMBA, AL AHLY AMEKUJA KIPINDI KIBAYA SIMBA SASA MBIONI KUSAKA FAINI YA MKALI HUYU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply