Habari za michezo

SIMBA SASA MBIONI KUSAKA FAINI YA MKALI HUYU

Staff Desk October 16, 2023 2:36 pm

Taarifa za kuaminika ni kuwa Uongozi wa Simba unaendelea na mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa MAS Fes, Banfa Sylla ili kuipa saini ya mchezaji huyo dirisha lijalo la usajili.

Simba bado inahitaji saini ya Banfa Sylla dirisha lijalo la usajili na hawajaondoka kwenye mbio za kupata saini ya kiungo huyo fundi wa mpira, ambapo walikosa saini ya Banfa Sylla dirisha lililopita la usajili.

Banfa Sylla inatajwa kukubali kujiunga na Simba, maamuzi yamefanyika baada ya kukaa na wakala wake ili kuondoka nchini Morocco.

YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO UJIO WA MANULA WAMPA WASIWASI MWARABU WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply