Latest Posts

SIMBA SIO KINYONGE ATUA BOTSWANA KIFALME

Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamewasiri nchini Botswana tayari kwa ajili ya kupepetana na Jwaneng Galaxy hapo kesho Desemba 2, 2023. Simba wamewasiri wakiwa…

Habari za Simba

MANARA AMWAGIA SIFA HIVI NGOMA

Aliyekuwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa Kocha Robertinho Oliveira alikua anakosea kumpanga Fabrice Ngoma katika eneo la kiungo cha ukabaji wakati kwa uhalisia…

Habari za Simba

MASHABIKI SIMBA WACHARUKA, KWANINI PHIRI?

Licha ya Kocha wa Simba, Robertinho kusisitiza kila mechi ina mpango wake, mashabiki wa klabu hiyo wamecharuka. Wamechachamaa wakihoji kila kona; “Kwanini Moses Phiri haanzi?”…

Habari za Simba

MOSES PHIRI NGOMA NGUMU SIMBA

Imefahamika kuwa Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri hana furaha ndani ya Klabu ya Simba SC, na huenda akaondoka kikosini hapo kama mambo yataendelea kuwa…

Habari za Simba

SIMBA NA MIPANGO MAALUM KWA MIQUISSONE

Uongozi wa Simba SC umeamua kumsuka Luis Miquisson ambaye ameanza kunoga kikosini amepewa ndinga kali ya kisasa, amehamishwa nyumba aliyokuwa amefikia pamoja na kukabidhiwa kwa…