Home Tags KIMATAIFA

Tag: KIMATAIFA

MTIBWA SUGAR WAVUTWA MAJI MAREFU KIMATAIFA

0
Wakati Kocha Mkuu wa Young Africans, akianika mikakati yake kuelekea mechi mbili za nyumbani za Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Medeama FC...

HUWEZI KUAMINI, ILA UKWELI WOTE HUU HAPA DADIKA 630 BILA USHINDI...

0
Huwezi kuamini, lakini ndio ukweli kwamba, Simba imetimiza dakika 630 bila kupata ushindi kwenye michuano ya kimataifa, kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa timu hiyo. Juzi...

YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA

0
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya...

SIMBA HUYU NI MTU SIO MALAIKA…. MSIJIJAZE UPEPO

0
Pengine sasa nafasi za Wanasimba zitatulia baada ya ujio wa kocha Abdelhak Benchikha kutoka Algeria ambaye msimu uliopita aliipa USM Alger taji la Kombe...

GAMONDI ATAJA SABABU ZA KUPOTEZA MCHEZO WAO KIMATAIFA…… AL AHLY YATAJWA...

1
Wakati Yanga ikirejea leo alfajiri ikitokea Algeria, kocha wao Miguel Gamondi amesitisha kutoa mapumziko kwa wachezaji wake huku akifichua siri ya kupoteza mechi yao...

HAWA SIMBA, YANGA MBONA KAMA WANATULETEA UTANI KIMATAIFA

0
Simba na Yanga wote wameanza vibaya katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika kwenye hatua ya makundi baada ya kushindwa kupata ushindi. Hii ni kama...

YANGA WAANZA VISIGIZIO MAPEMA

0
Klabu ya Young Africans haijafanya mazoezi yake tangu ilipofika nchini Algeria baada ya vifaa vyao kubaki kwenye ndege waliyokuwa wanasafiria. Mjumbe wa kamati Alex Ngai...

BENZEMA AHUSISHWA NA UGAIDI KUFUATIA SAKATA PALESTINA

0
Waziri wa Mambo ya ndani wa nchini Ufaransa, Gerald Darmanin, anamshutumu mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad ya Uarabuni, Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano...

WAZIRI WA UTAMADUNI AWEKA UTABIRI WA KIBABE SIMBA, YANGA CAFCL

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema hatua ambayo Simba na Yanga zimefikia kucheza makundi Ligi ya Mabingwa Afrika huenda ikatokea...

SIMBA, YANGA MSIBWETEKE KIMATAIFA

0
Baada ya makundi kupangwa kwa sasa ni muda wa kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani. Katika Ligi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS