KOCHA WA SIMBA HUYU HAPA TAIFA STARS….. ISHU IKO HIVI
Meneja Mkuu wa kikosi cha Simba SC, Mikael Igendia ni sehemu ya Benchi la ufundi la kikosi cha Taifa Stars kilichoko kambini nchini Tunisia kinachojiandaa…
Meneja Mkuu wa kikosi cha Simba SC, Mikael Igendia ni sehemu ya Benchi la ufundi la kikosi cha Taifa Stars kilichoko kambini nchini Tunisia kinachojiandaa…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la CCM…
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita, Roul Shungu, amefunguka kuwa, kitendo cha Simba kufanikiwa kumpata aliyekuwa kiungo wa Al Hilal ya Sudan, Fabrice…
KOCHA Mpya wa Yanga Miguel Gamondi tayari yupo nchini kuanza kibarua akiwa ndani ya ardhi ya Tanzania, lakini alipotua tu kauli ya kwanza ikawa ni…
YANGA SC, imematangaza Miguel Ángel Gamondi, kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye waliachana naye hivi karibuni baada ya…
KOCHA Mkuu wa Yanga ametua juzi usiku kutoka Brazili, lakini kitu ambacho mashabiki wa klabu hiyo wanapaswa kukaa wakikujua mpema ni kwamba beki wa kulia,…
Hatua hiyo inajiri baada ya Geita kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fredy Felix ‘Minziro’ baada ya mkataba wake kuisha tangu Mei 28 mwaka…
WAKATI mashabiki wa Kaizer Chiefs ya Sauzi wakiujia juu uongozi wa klabu hiyo kwa kumteua kocha mzawa,Molefi Ntseki, aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi amefunguka…
Kocha maarufu wa Soka la Wanawake aliyewahi kuzinoa Simba Queens na Yanga Princess, Sebastian Nkoma ameshtukia jambo kwenye Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) kisha kuziuma…