Habari za Simba leo
Habari za michezo

ROBERTINHO ATETA NA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUKUTANA NA YANGA KESHO

Staff Desk August 12, 2023 2:36 pm

Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la CCM Mkwakwani Tanga.

“Nimeiandaa timu yangu kucheza vizuri wakati hawana mpira, kucheza kwenye eneo la mpinzani, kushambulia kwa nguvu, kufunga magoli na kufurahia mchezo badala ya kucheza kwa stress, mwisho wa yote, ushindi ndilo lengo letu” amesema Robertinho.

SIMBA YAMTAMBULISHA KIPA WAKE MPYA KUTOKA MOROCCO MGUNDA AWEKA MAMBO HADHARANI SAKATA LA ROBERTINHO NA PHIRI SIO POA, ISHU IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply