Magori Afunguka Siri ya Simba SC Kuteka Soko la Usajili Swahili
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori, amefunguka na kuweka wazi siri kubwa inayoidhihirisha klabu hiyo kuwa mfalme kwenye vita ya usajili…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori, amefunguka na kuweka wazi siri kubwa inayoidhihirisha klabu hiyo kuwa mfalme kwenye vita ya usajili…
Kocha Robertinho amesema amefurahishwa na kitendo cha winga Luis Miquissone kupungua uzito, akisema kurejea kwake kwenye kiwango na wepesi kutaiongezea kitu kizito timu yake huku…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amewafungia kazi Washambuliaji wake wapya akiwemo Luis Miquissone na Willy Essomba Onana kwa kuwataka wahakikishe wanaongeza nguvu…
MARA baada ya kuripoti kambini na kushuhudia nyota wenzake wapya waliosajiliwa, kiungo wa Simba Luis Miqquissone ameibuka na kutamka kuwa msimu ujao kwa kuanza atahakikisha…
UONGOZI Simba, umeweka wazi kuwa, wale watu wanaobeza wao kumrejesha Luis Miquissone, watulie kwani watamshangilia huko mbeleni baada ya kushangazwa na uwezo atakaouonesha. Winga huyo…
SIMBA imeendelea kujifua nchini Uturuki kwaajili ya msimu mpya huku kocha mkuu wa kikosi hicho Roberto Oliveira akitamba kutisha zaidi msimu ujao. Robertinho juzi alipata…
HABARI ya mjini kwa sasa ni Simba kufanikiwa kumrejesha kikosini nyota wake wa zamani kutoka Msumbiji, Luis Miquisone ikimsajili kama mchezaji huru baada ya kuvunja…
Kikosi cha Simba SC kinaendelea kujifua kambini Ankara, Uturuki huku kikipokea nyota wapya waliosajiliwa hivi karibuni wakiwamo wazawa, Shaaban Idd Chilunda, Hussein Kazi na Hamis…
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone…