MAMELODI SUNDOWN YAANDIKA HISTORIA BAADA YA KUTWAA UBINGWA AFL KWA KUICHAPA WYDAD
WENYEJI, Mamelodi Sundowns wamefanikiwa kutwaa taji la michuano mipya, African Football League baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wydad Athletic Club ya Morocco…
WENYEJI, Mamelodi Sundowns wamefanikiwa kutwaa taji la michuano mipya, African Football League baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wydad Athletic Club ya Morocco…
Droo ya African Football League (Super League) inatarajiwa kufanyika Septemba 2 huko Misri. Simba Sc ni miongoni mwa timu nane ambazo zitashiriki michuano hiyo maalum…