Uchungu Wa Marry Mjema: Ailalamikia Geita Gold Queens Kwa Kutomlipa Sh1.75M Ya TFF
Mchezaji wa Geita Gold Queens, Marry Mjema, amefunguka kueleza masikitiko yake baada ya klabu hiyo kushindwa kumpa mshahara wake wa Sh1.75 milioni, licha ya Shirikisho…