Tag: mastaa
MASTAA HAWA SIMBA WANAKUSANYA MAOKOTO KIMYA KIMYA
Simba kimya kimya ipo kwenye hatua za mwisho kusaini mastaa wapya kikosini hapo watakaoingia kwenye dirisha dogo la usajili lililowazi hadi Januari 15, mwakani.
Wakali...
MASTAA IMBA ATOA AHADI YA KIBABE DHIDI YA WYDAD LEO
MASTAA wa Simba wameapa kupigana kufa na kupona ili kuhakikisha timu yao inapata matokeo mazuri katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya Wydad Casablanca...
MASTAA YANGA WAIPIGA MKWARA MZITO ALAHLY
Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Dickson Job amesema kupoteza kwao dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria haina maana kwamba wametoka...
MASTAA SIMBA WAFUNGUKA KUHUSU UGAMVI UNAOENDELEA KWENYE KLABU HIYO
Nyota wa Zambia anayechezea Simba SC, Clatous Chama amesema anakiri kwamba hawakucheza vizuri kwenye michezo mitatu iliyopita lakini si kwamba kuna ugomvi ndani ya...
MASTAA KAMBI YA TAIFA STARS HAINA KUPOA
Nyota wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambao wapo kwenye maandalizi ya kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2026 dhidi ya...
YANGA IPOKAMBINI MASTAA TUMBO JOTO, GAMONDI ANENA HILI
Yanga ipo kambini ikiendelea kunoa makali kwa ajili ya mechi za kimataifa dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria na Al Ahly ya Misri, lakini...
MASTAA HAWA UANGA WAITAMANI SIMBA KUFA KUPONA DABI YA KARIAKOO
Wakati kiungo mshambuliaji wa Yanga kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Maxi Nzengeli akisema anajisikia furaha kuona mabao aliyofunga katika mechi ya Ligi...
GAMONDI ATOA ONYO KUHUSU UBINAFSI KISA MASTAA HAWA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuacha kuangalia mambo binafsi haswa katika...
MASTAA HAWA YANGA WAREJEA KIKOSINI
Nyota watatu wa Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kuivaa Azam FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu unaotarajiwa kuchezwa kwenye...
MASTAA HAWA WATATU SIMBA WANGIA VITANI
Wachezaji watatu wanawania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Simba kwa Septemba, 2023 ikiwa ni vita yao nyingine kumpata mbabe wao.
Ndani ya...