Rasmi: Simba SC Yaikimbia Uhuru, Yarejea Meja Isamuhyo Dhidi ya Coastal Union (+Viingilio na Tiketi)
KLABU ya Simba imeamua kuachana na Uwanja wa Uhuru na kurejea kutumia Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa mechi zake za nyumbani katika mwendelezo wa…