Home Tags Mkude

Tag: mkude

SAKATA LA MKUDE NA MO DEWJI LAFIKA HUKU

0
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam ina-tarajia kusikiliza usuluhishi katika kesi ya kiungo nyota wa Yanga, Jonas Mkude ambaye anaidai Kampuni...

MAJANGA MKUDE AMFUNGULIA MASHTAKA MO DEWJI ADAI FIDIA KISA HIKI HAPA

0
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited...

NGOMA NA MKUDE WAWEKWA JAHAZI MOJA KISA HIKI HAPA

0
Kwa sasa mashabiki wa Simba wako katika kilele cha furaha kutokana na kiwango ambacho kinaonyeshwa na Kiungo Mkongomani Fabrice Ngoma tangu atue hapo Unyamani. Fabrice...

GAMONDI ACHUKIZWA NA JAMBO HILI LA MAUYA KWENYE MCHEZO WA JANA

0
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha mchezaji wake Zawadi Mauya kusababisha penati iliyozaa bao...

JONAS MKUDE AANZA RASMI KUFANYA MAAJABU YAKE KATIKA KIKOSI CHA YANGA,...

0
KIUNGO mpya wa Yanga, Jonas Mkude ameanza kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24. Safari huu Mkude mzawa mwenye uwezo eneo la kiungo atakuwa na uzi...

KWELI MAISHA YANAENDA KASI SANA MKUDE AINGIA KATIKA ORODHA HII

0
MAISHA yanaenda kasi sana. Ebu fikiria kabla ya Juni 9 Ligi Kuu Bara ya msimu uliopita kufikia tamati, Jonas Mkude alikuwa staa wa Simba....

BAADA YA YANGA KUMCHUKUA MKUDE, SIMBA YAMLETA MBADALA WAKE

0
Baada ya kuachana na kiungo, Jonas Mkude aliyeitumikia Simba SC kwa miaka 13, Wanamsimbazi wamemalizana na kiungo Mtanzania, Hamis Abdallah anayekipiga nchini Kenya. Simba SC...

BAADA YA SIMBA KUMTEMA MKUDE KOCHA WA YANGA KUAMUA JAMBO HILI

0
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi...

YANGA WAIPIGA MKWARA SIMBA KWA KUMUACHA MKUDE…ALLY KAMWE AFICHUA WALIYAHIFADHI…

0
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa licha ya utani wa jadi uliopo baina yao na Simba bado kuna jambo wanalisikitikia hasa kumuacha kiungo mzoefu,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS