Tag: mkudubele
SKUDU NA SAKATA LA JEZI YA FEI TOTO YANGA
Nyota mpya wa Yanga,Mahlatse Makudubela’Skudu’ amesema hakuchagua kutumia jezi namba sita bali alichaguliwa.
Skudu amezungumza hayo leo muda mfupi kwenye mkutano na waandishi wa habari...