Kocha wa ZED FC Ammwagia Sifa Kem Kem Florent Ibenge wa Azam FC!
Ibenge amejijengea heshima kubwa kupitia kazi nzuri aliyoifanya katika klabu na timu za taifa, akishiriki mashindano makubwa yaliyompa uzoefu wa kukabiliana na presha ya kimataifa:…