UJIO WA KOCHA MPYA SIMBA,ULIVYOWASAHAULISHA WANAMSIMBAZI MIAKA 30 YA SIMANZI
Inawezekana wengi wenu hii imewapita. Sio kwa sababu hamjui, ila ni kutokana na kuwa bize na ujio wa Kocha Mpya wa Simba, Abdelhak Benchikha na…
Inawezekana wengi wenu hii imewapita. Sio kwa sababu hamjui, ila ni kutokana na kuwa bize na ujio wa Kocha Mpya wa Simba, Abdelhak Benchikha na…
Uongozi wa Simba SC umesema utamtangaza kocha wake mpya kabla haijacheza na ASEC Mimosas ya vory Coast katika mchezo wa kwanza wa Kundi B wa…
Pale Simba Onana ameanza kujichimbia kaburi yeye mwenyewe kwasababu amesahau kabisa kuwa Simba sio Ihefu. Onana hakumbuki kabisa alisajiliwa kwa gharama kubwa na mbwembwe na…
Winga wa Simba Aubin Kramo ameanza mazoezi katika viwanja vya MO Simba Arena. Raia huyo wa Ivory Coast aliyeibuka ndani ya Simba akitokea ASEC Mimosas…
Kiungo mshambuliaji Aubin Kramo amerejea mazoezini baada ya kutoka kwenye majeraha ya goti aliyokuwa ameyepata mazoezini. Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed…
KLABU ya Simba imemtambulisha mlinda mlango Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior kutoka Resende ya kwao, Brazil kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao. Jefferson…
MTU tatu kwa mpigo zimetambulishwa ndani ya Simba rasmi baada ya kusaini dili jipya kuwa kwenye familia ya Msimbazi. Ni Julai 20 watatu wametangazwa kwa…
WAKATI dirisha la usajili ukizidi kushika kasi kwa klabu mbalimbali kufukuzia na kuwasainisha majembe mapya, taarifa za viungo washambuliaji Clatous Chama na Luis Miquissone wameshtua…