HAWA AZAM FC TUTAJUANA HUKO HUKO MBELE YA SAFARI
Azam FC kwa sasa ipo moto, lakini hilo halijamshtua Kocha wa JKT Tanzania, Malale Hamsini ambaye kesho Jumatatu timu yake itavaana na vinara hao wa…
Azam FC kwa sasa ipo moto, lakini hilo halijamshtua Kocha wa JKT Tanzania, Malale Hamsini ambaye kesho Jumatatu timu yake itavaana na vinara hao wa…
Yanga ndio mabingwa wa Ligi Kuu Bara, mabingwa wa kihistoria na ndiyo timu iliyofanikiwa zaidi katika historia ya soka la Bongo. Kwa sasa ndiyo timu…
Klabu ya Ihefu imefufua matumaini katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni ya leo kui-buka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Tabora United katika…
Azam FC ipo moto, KMC wapo vizuri na leo usiku zinakutana kwa mara ya kwanza msimu huu katika mechi ya Ligi Kuu. Timu hizo zinakutana…
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo, amesema bado kikosi chake kipo kwenye mbio za ubingwa na kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amepata kigugumizi na kushindwa kusema iwapo msimu huu watachukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC. Akizungumza kufutaia…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 9 Uwanja wa Uhuru.…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha kwamba…
Kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha kwamba…
Yanga iko kambini kwaajili ya maandalizi ya kukutana na watani wao wa jadi Simba, kiungo wao Maxi Nzengeli amepata mzuka wa aina yake haswa kutokana…