SIMBA, YANGA NGAO YA JAMII ZAMPA SHAVU JONESIA…. ISHU IKO HIVI
MWAMUZI wa zamani Methew Akram amewataka wadau wa soka kuheshimu uamuzi wa mwamuzi wa fainali ya Simba dhidi ya Yanga, Jonesia Rukya kwa madai alijitahidi…
MWAMUZI wa zamani Methew Akram amewataka wadau wa soka kuheshimu uamuzi wa mwamuzi wa fainali ya Simba dhidi ya Yanga, Jonesia Rukya kwa madai alijitahidi…
Uongozi wa Young Africans, umebainisha kuwa, timu yao itarejea ikiwa imara, huku wakihamishia nguvu kwenye mashindano mengine ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Azam…
Kiungo wa Simba SC Sadio Kanoute ameweka wazi mwanzo mzuri wa msimu Kocha Robertinho amepata muda wa kutosha kujiandaa na wachezaji na anaamini ni wakati…
WAKATI joto la fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba Agosti 13 likizidi kupanda, makocha wa timu hizo wametambiana kila moja timu…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amempotezea kocha wa wapinzani wake wa kubwa wa Ligi Kuu Bara Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’…