Clara Luvanga Aweka Rekodi ya Dunia: Asajiliwa Washington Spirit Kwa Sh5.2 Bilioni
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga, ameweka historia mpya duniani baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Al Nassr ya Saudi Arabia kwenda Washington Spirit…