MASTAA HAWA WA SIMBA MATOKEO YA DABI YA KARIAKOO YAPO MABEGANI MWAO
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazili, Robert Oliviera ‘Robertinho’ amewapa jukumu zito viungo wake wa kati Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute na Mzamiru Yassin kuhakikisha viungo wa…
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazili, Robert Oliviera ‘Robertinho’ amewapa jukumu zito viungo wake wa kati Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute na Mzamiru Yassin kuhakikisha viungo wa…
Kuna mjadala kuhusu matumizi ya Moses Phiri ndani ya kikosi cha Simba SC na unazidi kupata nguvu kutokana na uwezo wake wa kumalizia anapoipata nafasi…
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa mara…
Takwimu za ufungaji za Moses Phiri na Jean Baleke katika Ligi Kuu msimu huu wa 2023/24, zinaweza kumuweka mtegoni kocha wa Simba Roberto Oliveira katika…
Mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis ni miongoni mwa nyota tegemeo kwa sasa ndani ya kikosi cha Msimbazi. Panga pangua, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ lazima akipanga…
Klabu ya Simba tangu huu msimu uanze haijashinda hata mchezo mmoja wa mashindano wa Kimataifa achana na ule wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power…
Kocha wa Simba Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema timu yake inacheza kwa malengo ndio maana anazingatia zaidi matokeo uwanjani kuliko kile watu wanachohoji kuhusu timu hiyo.…
Kocha wa Simba, Oliviera Robertinho amesema moja ya silaha muhimu alizonazo kwenye kikosi chake ni Kibu Denis ambapo anaweza kumbadilisha kumpa jukumu lolote gumu na…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa kilichomgharimu Kocha wa Klabu ya Simba, Robertinho…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anafahamu mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly utakuwa mgumu hivyo kuna mabadiliko atayafanya kwenye kikosi.…