Habari za Simba
Habari za michezo

UWEZO WA PHIRI KUELEKEA DABI YA KARIAKOO

Staff Desk November 3, 2023 12:49 am

Kuna mjadala kuhusu matumizi ya Moses Phiri ndani ya kikosi cha Simba SC na unazidi kupata nguvu kutokana na uwezo wake wa kumalizia anapoipata nafasi mbele ya lango kulingana na vile anavyoaminiwa.

Na Wala hatumii nguvu kuprove ajenda yake ila anafanya kazi yake ya asili tu kucheka na vyavu na hakosei katika hilo.

Uwezo wake unaendelea kumsemea na hiyo ndio lugha ya mwanasoka always.Pengine Robertinho anatakiwa kutembea na jina lake kichwani kila anapoikaribia Novemba 5.

UNAAMBIWA HUYO YAO HAPO JANGWANI NI ZAIDI YA JESHI MANULA KUIKOSA TENA DABI YA KARIAKOO KISA HIKI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply