Habari za michezo
UNAAMBIWA HUYO YAO HAPO JANGWANI NI ZAIDI YA JESHI
Staff Desk
November 3, 2023
12:43 am
Jeshi la Wananchi wa Jangwani Yao kouassi Attohoula, Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga.
Yao anaweza kulinda upande mmoja wa jangwa peke yake. Atakufanya ushike kichwa kwa masikitiko au kwa mshangao.
Amejaa tele kule pembeni…!Pumzi, kasi, maarifa, maji…Top assist provider kwenye NBC mpaka sasa.
Yao ni miongoni mwa sajili za Yanga zilizoanza na moto wa hali ya juu ndani ya kikosi hicho.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.