Sakata la Selemani Mwalimu: Pigo la Saikolojia Simba, Neema Yanga
Siku za utambulisho wa nyota wapya katika matukio ya Simba Day na Wiki ya Wananchi zilibeba msisimko mkubwa msimu huu. Hata hivyo, kilichobadili kabisa upepo…
Siku za utambulisho wa nyota wapya katika matukio ya Simba Day na Wiki ya Wananchi zilibeba msisimko mkubwa msimu huu. Hata hivyo, kilichobadili kabisa upepo…
Nchi inasimama! Itakapotimia saa 2:30 usiku wa leo, macho na masikio ya wapenda soka wote yatakuwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, ambapo miamba ya soka…
Dakika 90 za moto zinatarajiwa kurindima leo visiwani Zanzibar kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, pale miamba miwili ya soka nchini, Yanga SC na Simba…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limethibitisha rasmi kuwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utashuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia,…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, amefunguka kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa jadi Yanga SC,…
Wikiendi hii mashabiki wa soka nchini Tanzania wanashuhudia burudani kabambe kutoka kwa klabu mbili kongwe zaidi nchini, Simba SC na Yanga SC. Leo Jumamosi ni…
BADO Yanga inashangilia ushindi wake wa mabao 5-1, dhidi ya watani zao Simba wanaoumia kupewa kichapo hicho kikubwa ikiwa ni kama kisasi kwani mei 6,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi kuu…
Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa patachimbika, hii ni siku ambayo itakuwa mwisho wa ubishi, nyodo na tambo wakati miamba miwili ya soka nchini, Simba…
Mzamiru Yassin mwamba kabisa hana bahati na mechi kubwa, anaweza kupiga kazi kubwa dakika zote ila kosa lake moja likatumiwa na wapinzani kisha mashabiki wakaanza…