UKWELI WOTE UKO HIVI SAKATA LA CHAMA….. PHIRI NAE AJA NA LAKE
Benchi jipya la ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha limedhamiria kufanya mambo makubwa mawili ili kuendeleza heshima iliyoijenga timu hiyo pamoja na…
Benchi jipya la ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha limedhamiria kufanya mambo makubwa mawili ili kuendeleza heshima iliyoijenga timu hiyo pamoja na…
Wakati Simba ikifufuka na kupata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Wydad Casablanca kwa ushindi wa…
Moses Phiri, nyota wa Simba mdogomdogo anazidi kurejea kwenye ubora wake kutokana na kasi yake kwenye kufunga na kutoa pasi za mabao kuanza kuimarika. Ipo…
Kuna mjadala kuhusu matumizi ya Moses Phiri ndani ya kikosi cha Simba SC na unazidi kupata nguvu kutokana na uwezo wake wa kumalizia anapoipata nafasi…
Simba ipo kambini ikijifua na mechi ijayo ya Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga lakini mastaa wawili wa Mnyama, washambuliaji Moses Phiri na Luis Miquissone wameonekana…
Licha ya Kocha wa Simba, Robertinho kusisitiza kila mechi ina mpango wake, mashabiki wa klabu hiyo wamecharuka. Wamechachamaa wakihoji kila kona; “Kwanini Moses Phiri haanzi?”…
Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri amevunja ukimya kwa kusema hana tatizo lolote na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazil, Robert Oliveira ‘Robertinho’ kutokana na kukosa…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Mosses Phiri, ametangaza hali ya hatari kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu Bara zikiwemo Yanga na Azam kwa kuwaambia amejipanga…
KAMA mashabiki wa Simba wakienda mazoezini wanaweza kutoa tuzo ya usajili bora kuwa beki kitasa Che Fondoh Malone, kwani jamaa kazi anaipiga sawasawa. Unachokiona uwanjani…
Wanamwita Guardiola Mnene, wakimlinganisha uwezo wake wa ukocha Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ‘Boli linatembea’. Huyu ni straika wa zamani wa Coastal Union na…