ROBERTINHO AFUNGUKA ULIPO UDHAIFU WA SIMBA
Kocha Mkuu wa Simba, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amekiri kikosi kina changamoto eneo la ulinzi na kipindi hiki cha mapumziko ameanza kuifanyia kazi ili timu ikirudi…
Kocha Mkuu wa Simba, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amekiri kikosi kina changamoto eneo la ulinzi na kipindi hiki cha mapumziko ameanza kuifanyia kazi ili timu ikirudi…
NI kama ameanza tambo Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, baada ya kusema kwa sasa anataka kuona wachezaji wake wakicheza soka zuri, huku…
Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema anataka kuona wachezaji wake wakicheza mpira mzuri na tayari ameanza anaona muelekeo wa kikosi chake kucheza soka…
Simba imefanya usajili mkubwa kwa ajili ya msimu huu wa mashindano. Imeshusha vifaa vya maana kwelikweli. Imewashusha Che Fondoh Marlone, Leandre Onana, Luis Miquissone, Aubin…
Wanamwita Guardiola Mnene, wakimlinganisha uwezo wake wa ukocha Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ‘Boli linatembea’. Huyu ni straika wa zamani wa Coastal Union na…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la CCM…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku akipanga kutengeneza muunganiko wa safu…
NI sahihi kusema Simba pale mbele imeenea. Kocha wa Simba, Olivier Robert Robertinho amesisitiza kwamba msimu huu ni bandika bandua na mashabiki wataanza kujionea wikiendi…
Simba tayari iko nchini ikitokea Ulaya ilikoweka kambi ya wiki tatu. Jambo la furaha kwa mashabiki wao, Robert Oliveira ‘Robertinho’ kutoa sababu kumi kwanini timu…
BAADA ya kikosi cha Simba SC kurejea wakitokea Uturuki, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera (Robertinho) ameweka wazi atakuwa na wakati mgumu kupanga kikosi cha…