TATIZO WABONGO TUNADHARAU SOKA LETU…SIMBA NA YANGA NI TISHIO KUBWA CAF
Bado mpira wetu una mapungufu mengi, wala tusiache kurekebisha. Bado mpira wetu una watu wengi tu wapigaji, wala tusikae kimya. Lakini kuna mahali tumepiga hatua.…
Bado mpira wetu una mapungufu mengi, wala tusiache kurekebisha. Bado mpira wetu una watu wengi tu wapigaji, wala tusikae kimya. Lakini kuna mahali tumepiga hatua.…
Kocha wa Walinda Lango wa Simba SC Chlouha Zakaria ametumia muda mwingi kuucheza mchezo dhidi ya Wydad AC, ambao utaunguruma kesho ljumaa (Aprili 28), katika…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira amesema uwepo wa nyota kama Clatous Chama, Saidi Ntibanzokiza, Kibu Dennis pamoja na wachezaji wengine wote unampa nguvu…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Robert Oliviera ‘Robertinho’ amesema atapangua kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali Ligi ya…
Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big Stars, kuelekea mwishoni…
Mwili wa Francis John, aliyekuwa kocha wa mwanariadha, Alphonce Simbu, utazikwa leo Aprili 26 nyumbani kwake jijini Arusha. Francis alifariki jioni ya Jumamosi iliyopita kwa…
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa matokeo ya mwisho ndiyo yataamua hatma yao ya kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, licha ya kuongoza…
JINA la kwanza lililopendekezwa na kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kusajiliwa pindi tu dirisha litakapofunguliwa ni winga wao wa zamani Hassan Dilunga ambaye ameshaanza…
Kikosi cha Simba kinaondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya michuano ya ligi…
Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke amesema Simba SC ina nafasi kubwa ya kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kuitoa Wydad…