ONANA AWAPAGAWISHA MASHABIKI MAPEMA SANA, NGOMA NAE AFUATA NYAYO
MABAO mawili ya Simba yaliyofungwa na Willy Onana na Fabrice Ngoma yametosha kufuta uteja kwa Simba kushindwa kupata matokeo mbele ya marais wa nchi wakishinda…
MABAO mawili ya Simba yaliyofungwa na Willy Onana na Fabrice Ngoma yametosha kufuta uteja kwa Simba kushindwa kupata matokeo mbele ya marais wa nchi wakishinda…
MGENI RASMI wa tamasha la Simba Day Rais Dk Samia Suluhu Hassan amesema ahadi yake iko pale pale ya kununua kila bao kwenye timu ambazo…
Utambulisho wa wachezaji ulianza saa 10: 36 kubwa ni zawadi ambayo ikutarajiwa na mashabiki utambulisho wa kipa mpya mzawa kutoka KMC FC, Hussein Abel ambaye…
Mabosi wa Simba wajanja sana, wakati leo ni Simba Day, wenyewe wamepanga kuwafanya sapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwatambulisha makipa wawili wapya akiwamo aliyecheza…
“Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi.” Hii ni taarifa fupi ambayo…
Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Van Pluijm amesema ameridhishwa na kiwango cha wachezaji wake na sasa wapo tayari kuikabili Simba SC kwenye mchezo…
Baada ya Yanga kuhitimisha ‘Kilele cha wiki ya Mwananchi’, sasa ni zamu ya wapinzani wao Simba nao pia kuja na tamasha la ‘Simba Wiki na…
NI sahihi kusema Simba pale mbele imeenea. Kocha wa Simba, Olivier Robert Robertinho amesisitiza kwamba msimu huu ni bandika bandua na mashabiki wataanza kujionea wikiendi…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KUELEKEA Kilele cha siku ya tamasha la Simba inafanyika leo, kikosi cha Wekundu wa Msimbazi wanashuka dimbani kuwakaribisha Power Dynamos ya Zambia, ikiwa mchezo wa…