HIVI NDIVYO THANK YOU ZA SIMBA, YANGA ZILIVYOGEUKA NA KUWA WELCOME
Wakati tetesi za usajili zikiendelea kushika kasi nchini muda huo huo thank you nazo zikiendelea kutolewa kwa baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi. Hadi…
Wakati tetesi za usajili zikiendelea kushika kasi nchini muda huo huo thank you nazo zikiendelea kutolewa kwa baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi. Hadi…
Jezi namba 20 katika kikosi cha Simba ilikuwa ikivaliwa na kiungo Mwandamizi Jonas Mkude, lakini mwishoni mwa msimu uliopita Simba waliamua kuachana nae. Kulitokea maneno…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefurahishwa na wachezaji wake wapya waliowasajili kikosini hapo akiwemo Luis Miquissone akibainisha kwamba, wamefiti haraka katika mbinu…
Klabu ya Simba imefanya mnada wa KIBEGI kilichokwea kileleni mlima Kilimanjaro pamoja na jezi zilizokuwa na majina ya Viongozi ambao ni Rais Dkt. Samia Suluhu…
BENCHI la ufundi la Simba lilitarajiwa kukutana usiku wa jana mara baada ya mechi ya mwisho iliyopigwa jioni dhidi ya Batman Petrolspor A.S ili kuanza…
Heee!! Mmesikia huko? Eti kuna timu imeiga tamasha la Simba Day? Mbona Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa watu wameiga kwao wakatoa neno ‘Day’…
SIMBA wamekuja na jambo jipya bwana, wameandika barua serikalini kuomba pia watumia Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam katika tamasha lao la Simba Day Jumapili…
Abdallah Athumani Seif ‘King Abdallah Kibadeni Mputa’ nyota wa zamani wa Simba ndiye mchezaji pekee aliyefunga ‘hat trick’ katika Kariakoo Derby, akifanya hivyo katika pambano…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia na klabu ya Simba SC, Clatous Chama aibuka na kutamka kuwa ujio wa kiungo Willy Onana utaifanya timu hiyo, ifunge…
SIMBA imefanya maamuzi magumu ya kumpiga chini kipa Mbrazili Jefferson Luis aliyesajiliwa hivi karibuni kwa madai ya kuwa majeruhi. Japo klabu haijatoa taarifa lakini inaelezwa…