kipa wa simba
Habari za michezo

SIRI IMEFUJA SABABU ZA SIMBA KUMTEMA KIPA WAO MBAZILI…. TATIZO LIMEANZIA HAPA

Staff Desk July 31, 2023 2:47 pm

SIMBA imefanya maamuzi magumu ya kumpiga chini kipa Mbrazili Jefferson Luis aliyesajiliwa hivi karibuni kwa madai ya kuwa majeruhi. Japo klabu haijatoa taarifa lakini inaelezwa Jefferson amepata majeraha makubwa, hivyo amesitishiwa mkataba kwani atakuwa nje kwa muda mrefu.

Chanzo chetu cha kuaminika kinasema kwamba Jefferson alisajiliwa huku akiwa na tatizo la misuli nyuma ya paja lililogundulika juzi mazoezini, huku jina lake likiwa tayari katika usajili wa CAF. “Ni kweli amegundulika na tatizo hilo, anaweza kukaa nje kwa muda mrefu ila siwezi kusema moja kwa moja kama mkataba utavunjwa au lah! Maana maamuzi hayajafikiwa,” kilisema chanzo hicho cha kuaminika.

ROBERTINHO AFUNGUKA HALI YA WACHEZAJI WA SIMBA HUKO UTURUKI SIO POA…….ISHU IKO HIVI KISA ONANA CHAMA AITABIRIA MAKUBWA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply