BAADA YA YANGA KUMCHUKUA MKUDE, SIMBA YAMLETA MBADALA WAKE
Baada ya kuachana na kiungo, Jonas Mkude aliyeitumikia Simba SC kwa miaka 13, Wanamsimbazi wamemalizana na kiungo Mtanzania, Hamis Abdallah anayekipiga nchini Kenya. Simba SC…
Baada ya kuachana na kiungo, Jonas Mkude aliyeitumikia Simba SC kwa miaka 13, Wanamsimbazi wamemalizana na kiungo Mtanzania, Hamis Abdallah anayekipiga nchini Kenya. Simba SC…
Wakati wakiwa wamebaki wachezaji wawili tu kujiunga kambini nchini Uturuki, uongozi wa Klabu ya Simba SC umeendelea kukiboresha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa 2023/24,…
WAKATI nyota wanne wa Simba wakisafiri jana alfajiri kwenda kambini nchini Uturuki, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mzambia, Clatous Chama amebaki Dar, huku sakata lake…
WAKATI vilabu mbalimbali vikiwa katika harakati za usajili na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, timu ya Namungo imeweka kambi mkoani Arusha. Taarifa ya Namungo…
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikikubali yaishe kwa mshambuliaji wake, Fiston Mayele kwenda kujaribu changamoto nyingine Pyramids FC ,mgogoro mpya umeibuka kwa kiungo fundi, Clatous…
Dar es Salaam. Majeraha ya mara kwa mara ya nahodha John Bocco, ni sababu kubwa iliyoishawishi Simba kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Shaban…
KAMA mambo yakienda yalivyopangwa kipa Mcameroon, Simon Omossola (25) anaweza kusaini Simba muda wowote kuanzia sasa. Lakini kikosi kikiendelea kujifua Uturuki leo kinatarajia kuwapokea mastaa…
MSAFARA wa watakaohusika kwenye uzinduzi wa jezi mpya za klabu ya Simba kwa msimu wa 2023/2024 umeondoka Dar es Salaam kwenda mkoani Kilimanjaro kwa ajili…
Baada ya kuripoti juu ya kutoweka kambini kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, kocha huyo amevunja ukimya na kufafanua juu ya ukweli wa…
LIGI imeanza mapema. Ndio, huko mtaani na kwenye mitandao ya kijamii ile ligi ya mashabiki na wapenzi wa klabu za Simba na Yanga imeanza. Hii…