YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya Ligi…
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya Ligi…
Saa kumi juu ya alama Simba itakuwa kwenye kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, Botswana kuikabili Jwaneng Galaxy mechi ya Kundi B. Awali ilikuwa kipigwe…
Klabu za Tanzania leo zitaendelea kusaka nafasi ya kukaa sehemu nzuri kwenye makundi yao kwa kucheza mechi za pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Simba…
Kapteni Msaidizi wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ameahidi kuondoka na alama zote tatu leo katika mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy nchini Botswana. Akizungumzia…
Pengine sasa nafasi za Wanasimba zitatulia baada ya ujio wa kocha Abdelhak Benchikha kutoka Algeria ambaye msimu uliopita aliipa USM Alger taji la Kombe la…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Al Ahly Marcel Koller ameliambia amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho Jumamosi (Desemba 02),…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamewasiri nchini Botswana tayari kwa ajili ya kupepetana na Jwaneng Galaxy hapo kesho Desemba 2, 2023. Simba wamewasiri wakiwa…
Simba wameondoka nchini leo alfajiri Desemba 1, 2023 kuelekea nchini Botswana kwa ajili ya kuwakabili Jwaneng Galaxy, mchezo wao wa pili wa hatua ya Makundi…
KOCHA mpya Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amewaacha kipa Aishi Manula na washambuliaji, Nahodha John Bocco na Shaaban Iddi Chilunda katika safari ya…
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amerejesha matuamini kwa mashabiki wa timu hiyo na amekabidhiwa faili la Jwaneng Galaxy ya Botswana ambao watakutana nao Jumamosi…