Simo Dladla Afichua Eneo Yanga Inalotakiwa Kurekebisha Haraka Baada ya Kuichapa St George
Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Simo Dladla, amefichua eneo nyeti ambalo Mabingwa hao watetezi wanapaswa kulifanyia kazi kwa haraka zaidi, kufuatia ushindi wa bao 1-0…