NEYMAR KUTIMKIA MANCHESTER UNITED…MABOSI WAKAA MEZANI…ISHU NZIMA IKO HVI
Manchester United watachukua hatua kwa ajili ya mshambuliaji wa Paris-St Germain na Brazil Neymar, 31, iwapo dau la Qatari bid, linaloongozwa na Sheikh Jassim, kwa…
Manchester United watachukua hatua kwa ajili ya mshambuliaji wa Paris-St Germain na Brazil Neymar, 31, iwapo dau la Qatari bid, linaloongozwa na Sheikh Jassim, kwa…
Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big Stars, kuelekea mwishoni…
Tuliahidi na tumetimiza Na hii ndio zawadi ya Iftar kwa Wananchi! Hii ni kauli ya Klabu ya Yanga baada ya kutangaza kumuongezea mkataba beki wao,…
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ mjanja sana kwani wakati akijipanga kumalizia mechi za msimu huu katika michuano ya kimataifa na ya ndani, lakini…
“Jambo muhimu tunalotakiwa kujua ni mchezo ni muhimu kwetu na mimi kama mchezaji sina maneno mengi ya kusema sababu nadhani ninachotakiwa kusema ni kuonyesha ninachoweza…
Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni 193 sawa na Euro milioni 220 sawa na TSh496,706,137,823.22 ili kujiunga na klabu ya Al…