TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG'OLEWA PSG...WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK 1...
Habari za michezo

TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG’OLEWA PSG…WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK 1…POGBA ACHEZA DK 35 MSIMU MZIMA

Marce Ben Komba March 16, 2023 4:09 pm

Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni
193 sawa na Euro milioni 220 sawa na TSh496,706,137,823.22 ili kujiunga na klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia akiikacha Paris St-Germain mwishoni wa msimu huu.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania na Manchester City Julian Alvarez, 23, anakaribia kumwaga wino wa kuendelea kukitumikia kikosi cha City mpaka katika Kombe la Dunia mwaka 2028.

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Paul Pogba, 30, amesema anahitaji kusalia Juventus licha ya msimu huu kucheza dakika 35 pekee za Serie A klabuni hapo kutokana na majeruhi.

Kocha Mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez ameweka wazi matamanio yake ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Ilkay Gundogan, 32, kwa ajili ya kumsajili.

REFA MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…KAMA YUPO FEA FEA VILEE…MNYAMA ASHINDWE YEYE KWA MKAPA VITUO VYA TIKETI MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…TIKETI ZA MZUNGUKO BUKU 3 TU…TWENZETU KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply