CAF
REFA MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…KAMA YUPO FEA FEA VILEE…MNYAMA ASHINDWE YEYE KWA MKAPA
Marce Ben Komba
March 16, 2023
3:37 pm
Vigogo Simba wana dakika 90 za kuandika rekodi ya kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF wikiendi hii endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Horoya ya Guinea.
Simba imepata kupangiwa mwamuzi Mohamed Adel Elsaid kutoka Misri, katika mechi saba za kimataifa alizochezesha timu ya nyumbani imeshinda minne, sare miwili na kupoteza mmoja.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.