MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA...WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI...WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI
FA Cup

MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA…WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI…WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI

Marce Ben Komba March 16, 2023 3:20 pm

Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation imefikia kwenye utamu wake baada ya Timu 8 kutinga hatua ya Robo Fainali.

Timu zilizotinga hatua ya Robo Fainali ni pamoja na Simba, Yanga, Azam FC, Geita Gold, Mbeya City, Ihefu na Mtibwa Sugar.
Mechi za Robo Fainali zitapigwa kama ifuatavyo;

Simba vs Ihefu
Singida vs Mbeya City
Yanga vs Geita Gold
Azam vs Mtibwa

Michezo ya Nusu Fainali itapigwa katika Viwanja vya Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara na Uwanja wa Liti Mkoani Singida.
Mchezo wa Fainali utapigwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga.

MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR…WANANCHI WAMEPATA ZALI KWA REFA HUYU…ASHIKILIA HATIMA REFA MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…KAMA YUPO FEA FEA VILEE…MNYAMA ASHINDWE YEYE KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply