MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR...HUYU NI ZAIDI YA PILATO...ASHIKILIA HATIMA YA WANANCHI
CAF

MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR…WANANCHI WAMEPATA ZALI KWA REFA HUYU…ASHIKILIA HATIMA

Marce Ben Komba March 16, 2023 2:52 pm

Wakati Yanga wakijiandaa kuivaa US Monastir Kwa Mkapa wikiendi hii, huyu ndio mwamuzi atakaeamua hatima yao siku ya Jumapili.

Kwa upande wa Yanga watachezeshwa na refa wa kati, Alhadi Allaou Mahamat anayetokea Chad.

Yanga imepata zali kupangiwa mwamuzi huyu kwani timu zilizocheza nyumbani katika michezo tisa aliyochezesha ya kimataifa hakuna timu ya ugenini iliyoshinda, zimepoteza mara sita huku mitatu sare.

RAISI HOROYA:- NIMESHTUKA KUSIKIA SIMBA KLABU KUBWA AFRIKA…KELELE NYINGI MITANDAONI…IMEACHWA MBALI SANA MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA…WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI…WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply