KUHUSU BAJABER ‘KUPIGWA PANGA’ SIMBA….BARKER KAMTAZAMA WEE..KISHA AKASEMA HILI….
WAKATI maswali yakiendelea kuwa mengi kuhusu hatma ya kiungo Mohamed Bajaber, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker amesema kwenye hesabu zake za msimu ujao nyota…
WAKATI maswali yakiendelea kuwa mengi kuhusu hatma ya kiungo Mohamed Bajaber, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker amesema kwenye hesabu zake za msimu ujao nyota…
ENDAPO Simba itabeba mataji mawili yaliyobaki msimu huu lile la Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la CRDB, basi mastaa wa kikosi hicho watavuta…
KWA mara ya kwanza, Septemba 10, 2025 mashabiki wa Simba na wadau wa soka nchini, walipomshuhudia Naby Camara katika tamasha la timu hiyo akiupiga mwingi…
STRAIKA mchana nyavu Leonel Ateba ameweka wazi kwamba msimu huu pale Msimbazi kuna kombe linatua na haitashangaza kwamba watalichukua kutoa wapi, ingawa kwa sasa yaliyo…
Kumekuwa na hisia tofauti juu ya hatima ya Stephene Aziz Ki licha ya Rais wa Yanga, Hersi Said kudai kwamba bado hajasaini mkataba mpya na…
UONGOZI wa Simba SC umetangaza kuachana na mchezaji wao Kitasa Henock Inonga ambaye atajiunga na AS Far Rabat ya nchini Morocco. Simbe jioni ya Juni…
Lameck Lawi na Yusuph Kagoma wana vita ngumu iliyowashinda wazawa wengi ndani ya kikosi cha Simba kwa misimu mingi mfululizo, wachezaji hao wameshamwaga wino na…
Simba Queens ipo katika mazungumzo na beki wa kati wa Yanga Princess, Noela Luhala anayemaliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Simba…
Beki kisiki wa Klabu ya Simba, Che Fondoh Malone Junior raia wa Cameroon amekiri kuwa wana mapungufu katika safu yao ya ulinzi ndiyo maana wamekuwa…
SIMBA leo inashuka dimbani kumenyana na Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo…