Mchakato wa Jezi Mpya Taifa Stars AFCON Unatakiwa Anza Sasa
KUNATAKIWA uwepo wa jezi mpya za Taifa Stars kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) zitakazofanyika hapa nchini, na uzinduzi…
KUNATAKIWA uwepo wa jezi mpya za Taifa Stars kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) zitakazofanyika hapa nchini, na uzinduzi…
Baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha katika mechi mbili za kwanza za Kundi B kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Wanawake chini ya umri wa…
Nchi inasimama! Itakapotimia saa 2:30 usiku wa leo, macho na masikio ya wapenda soka wote yatakuwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, ambapo miamba ya soka…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limethibitisha rasmi kuwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utashuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia,…
DAR ES SALAAM: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limechukua hatua thabiti ya kukomesha tabia ya klabu kukataa kutumia vyumba rasmi vya kubadilishia nguo…
MASHABIKI wa Simba ni kama wanaonekana hawajafurahishwa na hatua ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kupelekwa Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba…
Kocha Mkuu wa Tabora United, Mserbia Goran Kopunovic amelalamikia kutopewa nafasi ya kuchezea uwanja wa nyumbani licha ya viongozi wa timu hiyo kutengeneza uwanja vizuri.…
Klabu ya Mashujaa imekumbana na adhabu ya kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina baada ya mmoja wa…
Kupitia mitandao ya kijamii kumesambaa video ikionyesha shabiki aliyevaa jezi ya Yanga akishambuliwa na mashabiki waliovalia jezi za Simba katika Uwanja wa Mkapa. Mwanasheria wa…
Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, @hassanmwakinyojr amemuombea msamaha Haji Manara kwa Kamati ya Nidhamu ya TFF kumsamehe adhabu yake. Manara amefungiwa miaka miwili kujihusisha…