Habari za michezo

NDONDO CUP MARUFUKU…”HATUJATOA KIBALI CHOCHOTE” TFF

Marce Ben Komba March 22, 2023 9:49 pm

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa likiwa ndio
mamlaka inayosimamia na kutoa vibali vya michezo ya soka nchini halijatoa kibali kwa ajili ya mashindano ya Ndondo Cup ambayo yametangazwa na Clouds Media.

Mashindano hayo yametangazwa rasmi leo Machi 22, 2023 na Mkurugenzi wa Mshindano hayo, Shaffih Kajuna maarufu kama Shaffih Dauda ambaye pia ni mtangazaji wa chombo hicho cha habari kupitia kipindi cha Clouds 360.

Ikumbukwe pia kuwa, Shaffih alifungiwa na Shirikisho hilo kujihusisha na masuala ya soka kwa miaka mitano.

CHAMA:- KUFIKA ROBO FAINALI ILIKUWA LAZIMA…TUMEELEKEZA NGUVU HATUA INAYOFUATA SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE…TAMBO ZIMEISHA MIDOMONI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply