Hamisa Mobetto Afunguka Siri ya Ndoa Yake na Aziz KI, Ubalozi UNESCO na Ng’ombe 30 za Mahari
Mwanamitindo na mfanyabiashara mashuhuri nchini, Hamisa Mobetto, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maisha yake ya ndoa na mumewe, Stephane Aziz KI, huku akibainisha siri…