Girumugisha Afunguka Kurejea Yanga Baada ya Usajili wa Bilioni 14.6 Libya
Winga hatari raia wa Burundi, Jean Claude Girumugisha, ameacha milango wazi ya kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, siku zijazo licha…
Winga hatari raia wa Burundi, Jean Claude Girumugisha, ameacha milango wazi ya kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, siku zijazo licha…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki atalazimika kusubiri zaidi kabla ya kuanza kupewa nafasi ya kucheza, akieleza kuwa bado…
Uongozi wa Yanga SC umeeleza kuwa kurejea kwa kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki klabuni hapo ndiko kulikofungua milango ya Allan Okello kuondoka. Uamuzi huo ulifikiwa…
Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesisitiza kuwa kikosi chake bado kipo kwenye mchakato wa kujenga muunganiko imara, licha ya kuanza msimu mpya wa Ligi…
DILI LAIVA! AS FAR Yaongeza Dau la Allan Okello, Yanga Yamweka Sokoni Baada ya Aziz Ki Kurejea Upepo wa usajili ndani ya klabu ya Yanga…
Uongozi wa klabu ya Yanga SC umetoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatima ya kiungo wao mshambuliaji raia wa Uganda, Allan Okello, kufuatia kuwepo kwa taarifa za…
UONGOZI wa Simba SC kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Crescentius Magori, umeweka wazi sababu zilizowafanya wajitoe kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji Selemani Mwalimu, ambaye…
Baada ya Yanga SC kumtambulisha rasmi mshambuliaji Selemani Mwalimu, ushindani wa namba katika safu ya ushambuliaji unatarajiwa kushika kasi mpya kuelekea msimu wa 2026/27. Usajili…
Mshambuliaji hatari Selemani Mwalimu amekuwa gumzo kubwa kwenye soko la usajili la msimu wa 2026/27 baada ya Yanga SC kufanya umafia wa kimya kimya na…
Utambulisho wa mshambuliaji mpya na hatari wa Yanga SC, Peter Shalulile, umeibua shangwe na msisimko mkubwa katika kilele cha tamasha la Yanga Day lililofanyika kwenye…