MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI ,APATA DILI HILI
Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba…