Habari za michezo
MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI ,APATA DILI HILI
Staff Desk
July 28, 2023
3:49 pm
Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba kama mshauri.
Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba kama mshauri. Akitoa taarifa hiyo Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula amesema Kocha Mgunda ana uzoefu mkubwa atatumika katika timu za vijana,timu ya wanawake na hata timu ya kubwa ya Simba SC.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.