KOCHA MORROCO AFICHUA MBINU ZA WYDAD...AWAPA MBINU HIZI SIMBA
Habari za michezo

KUMBE THANK YOU HAZIJAISHA HUKO SIMBA, HUYU HAPA WA KIMATAIFA NAE KAPEWA YAKE

Staff Desk July 28, 2023 3:54 pm

Simba SC huwenda wakamtema mchezaji mmoja wa Kimataifa kwani mpaka sasa idadi ya wachezaji wa kigeni waliowasajili imevuka kiwango kinachoelekezwa na TFF.

Sheria inasema, timu inatakiwa kuwa na wachezaji kumi na mbili wa kigeni wakati Simba kwa sasa inao nyota 13 wa Kigeni ambao ni;

Che Fondoh, Willy Onana, Aubin Kramo, Fabrice Ngoma, Clotus Chama, Jean Baleke, Sadio Kanoute, Peter Banda, Henock Inonga, Said Ntibanzokiza, Moses Phiri, Luis Miquisson na golikipa Luis Jefferson.

Hapo kuna mawili, Simba wanaweza wasimpe thank you yeyote isipokuwa watamchagua mchezaji mmoja ambaye hatacheza ligi ya ndani akacheza michuano ya Kimataifa pekee au wakaamua kumpa thank you mchezaji wao mmoja.

MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI ,APATA DILI HILI GODDESS OF THE NIGHT, USIKU WA MAAJABU MENGI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply