WACHEZAJI SIMBA HALI TETE KIGOGO WA SIMBA AFUNGUKA HAYA
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu ya Simba SC, imebanwa mbavu nyumbani kwa kulazimishwa sare ya 1-1 na Asec Mimosa…
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu ya Simba SC, imebanwa mbavu nyumbani kwa kulazimishwa sare ya 1-1 na Asec Mimosa…
Uongozi wa Simba SC umewataka Wachezaji wa Klabu hiyo kupambana na kutambua uchungu wanaoupata Mashabiki na Wanachama pale mambo yanapokwenda mrama. Ombi hilo kwa Wachezaji…
Mashabiki kindaki ndaki wa Klabu ya Simba, Pasi Milioni na Kisugu wameutaka uongozi wa timu hiyo kufanya maamuzi magumu kwa kuwafukuza wachezaji wasiojituma ambao wamekuwa…
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakitibua mipango ya makocha wengi kwenye soka ni pamoja na majeraha ya wachezaji muhimu ambao wamekuwa kwenye mipango yao, muda…
Kocha Mkuu mpya wa Young Africans Miguel Gamondi, leo Jumatano (Julai 12) anakutana na wachezaji wake kwa mara ya kwanza, kuanza mazoezi ya ‘Gym’ kuweka…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi na Klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza, amesema amerejea kivingine kwenye majukumu yake ndani ya klabu hiyo kuelekea msimu wa…