Timu ya Taifa ya Woodball Yaagwa Kwenda Kenya: Tanzania Kusaka Tiketi ya Dunia Taiwan
Timu ya Taifa ya Woodball Tanzania imeagwa rasmi leo kuelekea jijini Nairobi, Kenya, tayari kushiriki Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Woodball Championship yanayotarajiwa kurindima…