HUYU AZIZI KI MNAEMUONA NI ASILIMIA 40 TU
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, George Ambangile amesema kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki anachokionesha kwa sasa ni asilimia 40…
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, George Ambangile amesema kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki anachokionesha kwa sasa ni asilimia 40…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri, amesema kwa mziki wa kikosi chao msimu huu, wamepanga kushinda mataji yote, huku wakianza na Ngao ya Jamii. Phiri ambaye…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuifunga ASA FC ya Djibouti kwa jumla ya…
Wakati Yanga ikifuzu kwa jeuri hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitupa nje ASAS ya Djibouti kocha wao wa zamani Nasreddine Nabi naye…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kikosi cha JKT Tanzania kinaendelea na mazoezi kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa keshokutwa, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Malale…
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia ya Kenya. Kiungo mshambuliaji wa zamani…
Klabu ya ASAS ya nchini Djibouti imeukubali mziki wa Yanga Sc baada ya kupokea kichapo cha bao 5-1 katika mchezo wa hatua ya kwanza ya…
Hakuna kitu kizuri kama kuiangalia Yanga ya Gamondi ikicheza, kama unadaiwa kodi, una njaa, una uchovu ama unaumwa homa ndogondogo basi ni dawa inayotibu kwa…
Mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea baada ya kushuhudia timu hiyo ikianza Ligi Kuu kwa kishindo ikiifumua KMC mabao 5-0, lakini sifa zikienda eneo la kiungo…