NJOONI MUONE SHOO….. GAMONDI: HAO ASAS WANAOIGWA NYINGI TU
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Ofisa Habari wa Klabu ya Young Africans Sports, Alikamwe amesema kuwa watakachokwenda kukifanya dhidi ya wapinzani wao ASAS FC siku ya Jumapili zitakuwa ni salamu…
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa licha ya Yanga kupoteza kwa kushindwa kubeba Ngao ya Jamii mbele ya Simba anaamini bado…
Wachezaji wa Young Africans wamesema kwa sasa nguvu na akili zao wamezielekeza katika mchezo wa hatua wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, huku kikubwa…
Baada ya kukosa ubingwa wa Ngao ya Hisani timu za Yanga, Singida Fountain Gate na Azam FC sasa zimegeuzia akili zao kwenye michuano ya kimataifa.…
Uongozi wa Klabu ya Young Africans, umeweka wazi kuwa kushindwa kupata ushindi dhidi ya watani zao wa jadi Simba SC ni mwanzo wa kulipa kisasi…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, umedhamiria kuiboresha safu ya ushambuliaji, baada ya kuona mapungufu katika michezo ya Ngao ya Jamii, na…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amebadilisha program ya wachezaji wake kwa kuwapa mazoezo ya viungo baada ya jana kufanya Gym ili kujiweka sawa…
MWAMUZI wa zamani Methew Akram amewataka wadau wa soka kuheshimu uamuzi wa mwamuzi wa fainali ya Simba dhidi ya Yanga, Jonesia Rukya kwa madai alijitahidi…
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza. Uamuzi huo umekuja mara baada ya kulikosa…