ROBERTINHO ATAJA SABABU 10 SIMBA BINGWA, GAMONDI AMFICHA MAXI DAR, SAMBA LAKISASA LAKOLEA KAMBINI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao wa…
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kile walichokifanya katika mchezo dhidi ya Magereza ni kionjo tu na inamaanisha Yanga ya Gamondi itakua…
Mshambuliaji mpya wa Klabu ya Yanga, Hafizi Konkoni amesema kuwa amekuja Yanga kuwatumikia Wananchi na si kuvaa viatu vya aliyekuwa mshabuliaji kwa timu hiyo Fiston…
KAULI ya Mpira ni Pesa ndio unaweza kuitumia kuelezea namna Simba na Yanga zinavyoonyesha dalili ya kutamba tena msimu ujao wa 2023/2024 kutokana na jeuri…
Wakati tetesi za usajili zikiendelea kushika kasi nchini muda huo huo thank you nazo zikiendelea kutolewa kwa baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi. Hadi…
Aliyekuwa Mshambuliaji kinara wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Fiston Kalala Mayele amesema anaamini siku moja atarudi tena kuitumikia timu hiyo kutokana na…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao wa…
KIPA wa Yanga Djigui Diarra ametakiwa kupunguza kujiamini zaidi awapo langoni jambo linaloweza kumtoa mchezoni na kujikuta akiisababishia timu yake matatizo. Diarra kipa bora msimu…
Heee!! Mmesikia huko? Eti kuna timu imeiga tamasha la Simba Day? Mbona Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa watu wameiga kwao wakatoa neno ‘Day’…