Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe
Habari za michezo

KWA YANGA HII WAPINZANI TUMBO JOTO, ALLY KAMWE ATAMBA

Staff Desk August 2, 2023 12:49 pm

Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kile walichokifanya katika mchezo dhidi ya Magereza ni kionjo tu na inamaanisha Yanga ya Gamondi itakua ikifunga magoli kama Mvua.

Yanga walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Magereza na kuifunga goli 10-0 katika mchezo wa kujiweka sawa kuelekea mchezo wa kwanza wa ngao ya Hisani dhidi ya Azam FC.

Kabla ya mchezo dhidi ya Aam Yanga wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Klabu ya AS Vita ya Congo Agosti 6.

MAJANGA HAFIZ KONKANI AGOMA KUVAA VIATU VYA MAYELE, ISHU IKO HIVI SIMBA WATUA DAR KIBABE , CHEKI BAKAA LAO WAKITIKEA UTURUKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply